Ndio jezi aliyokuwa anaitumia akiwa southampton ndio maana kaamua kushift kutoka 3 mpaka 23....Imekuwaje Luke Shaw ameachia jezi na. 3 na kuchukua 23? na namba 2 inamsubiri Ramos?
5. I regret putting Rooney in my fantasy football team.
6. Schneirdelin..hivi kacheza leo? Didn't see him
7. Except for Smalling defenders wengine were below average
8. Diving..well it's young..it's MUtd hatushangai sana
9. Mata...anakimbia kimbia tu..ts like wamekatazwa kupiga mipira golini wanaishia na touches nyingiiii wakati Rooney kajichomeka katikati ya mabeki ooponents.
5.Why unamweka Rooney kwenye timu yako,mweke Fail cow
6.Namba anayocheza huwezi kumuona hata alivyokuwa Southampton alikuwa haonekani
7.Kuna beki anaitwa Matteo Darmian kama alikuwa average I think hujaangalia game
8.Osca,Hazard,Cesc wote ni divers
9.Mata leo amecheza kama Jose alivyokuwa anataka,track back
10.Sijaona ukiongelea possession
Huyu kipa inaonyesha ni mzuri
Kwanini Spurs wasingefanya Smalling naye ajifunge?
Smaling ttzo akicheza mechi mbili tatu anakuwa nje week nne
Asante sana dear.........hahahahaha utafikiri Mbowe ndo kaenda CCM akasema IN CCM we trust. ......
Hahahahaaaaaaa............ Nimewatega kidogo tu.
Yani km mi ndio ningekua Mourinho, yani Man U ningeifatilia kwa karibu sn kila game kwasababu ndio timu ninayoiona italeta upinzani kwetu msimu huu!
Hujambo mtoto?
Leo tunashinda ngapi?
Oyoooooo my pacha, nimekumiss sana,mwaga baraka zako......
Keleuwiiiiiiii leooo rahaaa mamy tumeanza powaaaa
....aaaand you are back to fourth. #manuseless
Kashasema tumepewa Goli......na wenyewe wamepewa Goli la pili yaani hadi raha...