Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nafikiri tuna offensive midfielder wengi sana
DiMaria,Mata,Young,Januzaj,Depay,Hererra,Fellaini,Perreira but inategemea na mfumo tutakaocheza nafikiri Depay atachezeshwa kama Striker na ingekuwa bora kama Januzaj angepelekwa kwa mkopo somewhere

Hata siku de pay anatambulishwa rasmi (last Friday) van gaal alipo ulizwa kuhusu striker akasema ndio sababu amemleta depay, waandishi walipomuuliza depay kuhusu majukumu yake aliyopewa na van gaal kabla hajajibu van gaal aliingilia kati akaleta story zingne huku akisema hata kufunga pia anaweza, so inawezekana akamchezesha pia kama striker japokua sidhani kama atakua na impact saana
 
mkuu watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba LVG hawezi kuchezesha strikers wawili. never never never.. na hii ndo sababu hatutaweza kupata world class striker, tukisajili striker itabidi agombanie namba na wayne rooney and considering he is the captain and ENGLISH he will always start. i dont see any of the players you mentioned above starting from the bench... and with our current midfield rooney cant be played behind the striker, so we need a back up striker.... something cavani or lewa wouldnt want to be
 
msimu huu? kwani tuna midfielder wangapi ? na timu inatakiwa iwe na wangapi mpaka sisi tuwe na surplus?

Manchester United have 12 midfield players ahead of the new season



Shweinsteiger



Schneirdelin



Memphis Depay and Daley Blind




Michael Carrick



Ashley Young and Juan Mata




Ander Herrera



Marouane Fellaini




di Maria




Adnan Januzaj




WORTH MENTIONING: Your Right Back




 
Kitu kinachonifurahisha kama shabiki wa Chelsea about usajili wenu ni kuwa...itawachukua (itamchukua LvG) nusu msimu kuweza kutambua proper starting line up ambapo sisi tutakuwa tupo mbali mno.

Man UTD ni kama r/madrid, you buy for show off wala sio kwa sababu mna malengo maalum nao!
 

Wewe wasema sisi ndiye.....naona unajitahidi kuvaa mikoba ya Sheikh Yahaya.
 
Nafikiri tuna offensive midfielder wengi sana
DiMaria,Mata,Young,Januzaj,Depay,Hererra,Fellaini,Perreira but inategemea na mfumo tutakaocheza nafikiri Depay atachezeshwa kama Striker na ingekuwa bora kama Januzaj angepelekwa kwa mkopo somewhere
Perreira atunze aaseh aje kuwa mrithi wa Rooney ......kama number 10
 
Impact yake sana sana ni kwa mipira iliyokufa ( free kick ) akichezeshwa kama straiker otherwise kumchezesha as straiker itakuwa yale yale ya Di Maria kuwekwa number 9 kwa baadhi ya mechi
 
Mkuu umeandika vema ila kwa.mawazo yangu nashauri nguvu tuzihamishie kwa CB sana ndio kuna tatizo sana.. apatikane mwenye uzoefu.....kwa staiker hata Chicharito atafill hole aliloacha RVP
 
Sipo comfotable na ujio wa cavan. He's gonna be a flop kama Falcao.
Lewandowski anaweza kufaa ila sio Cavan.
Bora tutoe hela ndefu tupate world class striker ila sio cavan.
 

Wakati wa Moyes, midfield ilikuwa tatizo kubwa sana.
Wakati wa LVG, strikers ni matatizo bado.
Kwa ule mpira tuliokuwa tunapossess msimu uliopita halafu tunashindwa kuscore magoli ya kutosha.
Unless rooney aje kuprove otherwise.
 
Notion ya kuwa na Surplus wengi nadhani haina nguvu sababu top teams zinatarajiwa kucheza mechi kama 50(PL,FA CUP,CL,C1C )patakuwa na mechi za kutosha kwa wachezaji wote, kitu kingine ni vitu visivyozuilika kutokea kazini (injuries and suspensions) pamoja na form ya wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…