Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi ni MANCHESTER UNITED ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
 
ha ha ha ha ha ha ha tatzo sie man u tutakuja kuwa kama qpr nami nataka makombe

ushabiki wataka uvumilivu sana. kwani hayo makombe mbona man united wamechukua mengi tu. unakosea kuifananisha man united na qpr
 
Nimekwambia wachezaji hawanunuliwi kama nyanya,hauendi ukalazimisha kusajili mchezaji ambaye timu yake haimuuzi au yeye hataki kusajiliwa na timu yako.Transfer ya wachezaji sio rahisi kama unavyofikiri
(Bayern,Madrid,Barca) hawakutengeneza timu zao kwa kununua wachezaji wote ndani ya msimu mmoja au miwili.
Unatakiwa ujue sababu ya Man United kufanya vibaya kwanza,then usifananishe usajili wa Man United na Loserfool tafuta timu nyingine
 
Reactions: Nzi
ha ha ha ha ha ha ha tatzo sie man u tutakuja kuwa kama qpr nami nataka makombe

Wenzao msimu ujao wanapigania UEFA wao leo lao ni kuwa top 3. Kwa style hii lazima uje Barca, Njoo jembe langu!
 
Wenzao msimu ujao wanapigania UEFA wao leo lao ni kuwa top 3. Kwa style hii lazima uje Barca, Njoo jembe langu!
Asante sana kaka naujutia mda wangu nilioupoteza kwenye klabu hii inayowania big4 badala ya ubingwa
 
Watu wanahama dini, wengine wanakana watoto na wazazi wao. Sio vibaya mtu kuhama Man U. Unaanzaje kushabikia timu ya ukiwete hii, timu ishakua kiwete hii.
 
Watu wanahama dini, wengine wanakana watoto na wazazi wao. Sio vibaya mtu kuhama Man U. Unaanzaje kushabikia timu ya ukiwete hii, timu ishakua kiwete hii.
Aleyn my dady nakuheshimu sna hii style mliyokuja nayo inawadhalilisha plz kuna matani mengi na tambo kibao za kupeana ila hii ya leo siyo pouwa kila jukwaa mnapita mnaandikaa hivi ili iweje? Mnawatafutia watu ban bure.....!!! Please PNC 1 acheni hizo....
 
Last edited by a moderator:

The best way is to ignore, ukikimbizana na chizi na wew watu watakuona chizi
 
Last edited by a moderator:
Wala hata msijishughulishe naye hajawahi,wala hawezi kuwa MU fan, kwanza klabu yetu haiwezi kuwa na watu mfano wake.....

umeongea point everlenk kweli huyo hawezi kuwa shabiki. #man united timu ya ukweli msimu naamini tutafanya poa sana
 
Last edited by a moderator:

Kwa kuwa ni wewe Dota everlenk basi naacha. Nakuheshimu sana weweee!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…