Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kibibi kizee cha Turin wakiweza kuwabana Messi & Iniesta wahakikishe hawawapati space kubwa wanaweza mambo yanweza kuwaendea vzuri hakika leo naweza kumaliza chupa kubwa mbili za wine kwa furaha kubwa iwapo Juve watawaondoa hawa Barca.

I second u bro.

Barca ni headache aisee. Hasa zile pacha tatu mbele.
 
Patrice evra says leaving utd is always the wrong decision even though he could win the champions.

this guy bleeds red, is utd by nature, nipo nyuma yake evra shock the world please.
#Forzaevra
 
Kibibi kizee cha Turin wakiweza kuwabana Messi & Iniesta wahakikishe hawawapati space kubwa wanaweza mambo yanweza kuwaendea vzuri hakika leo naweza kumaliza chupa kubwa mbili za wine kwa furaha kubwa iwapo Juve watawaondoa hawa Barca.
kwa kuwa hata wewe mwenyewe unajua ni muujiza
 
Evra amesema ktk mechi ya leo ya fainali kati ya Juve na Barca atapeana mkono na Suarez.Beki huyo aliwahi kugoma kumpa mkono Suarez pindi walipokuwa EPL kama ishara ya kupinga ubaguzi wa rangi toka kwa Suarez

Ugomvi wa hawa watu utaanza kuonekana kama ugomvi wa jadi.
 
Ji-Sung Park amewatakia Evra na Teves best wishes kwenye mechi yao ya leo.

Inaonesha jinsi gani Old Trafford was their true home. Whenever they are wanakumbukana.

Hii safi sana

evra katakiwa kila la kheri karibu na utd legends wote, jana mashabiki wa stretford end walimwandikia barua ya kum wish the best kwenye hii mechi,
 
evra katakiwa kila la kheri karibu na utd legends wote, jana mashabiki wa stretford end walimwandikia barua ya kum wish the best kwenye hii mechi,
na ile barua ya pili ilimsisitiza asimkabe messi
 
evra katakiwa kila la kheri karibu na utd legends wote, jana mashabiki wa stretford end walimwandikia barua ya kum wish the best kwenye hii mechi,

Hahaha nimeipenda hii.

Kumbe kuna mashabiki special wanakaa stretford end? Wanawakumbuka legends wao.

Sijutii kuishabikia United.

GGM
 
Hahaha nimeipenda hii.

Kumbe kuna mashabiki special wanakaa stretford end? Wanawakumbuka legends wao.

Sijutii kuishabikia United.

GGM

wapo mkuu, hata ile amsha amsha ya kumtimua moyes ndio walikiamsha, juz kati walitengeneza bango la kum support blind, liliandikwa BLIND FAITH, nikitulia nitakutumia picha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…