Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Balotelli:"if Barcelona defeat juventus, i will shoot my girlfriend "
Duh, huyu jamaa kapinda.
Mimi leo nipo na underdogs, Juventus!
cute b popote ulipo mwaaaaaaaaa!!! Nimekumissije???? Naumwa kwa kukumiss leo nitakuita badaye kwa mchepuko wako..... Leo michepuko inakutana loh! Tuone mchepuko wa nani zaidi...... Hahahaha!!!!
Waaaoooooooo asantee mamy nimekumisi pia..
Muuuuaaah....muaaaahhh.....mmmmmmmmwaaaaaaaaaaaahhhh......!!!
Nilikuwa natumikia kifungo mpenz leo nilikuwa nawaza sana hii game itanipitaje bila kukuchokoza bahati nzuri msamaha wa rahis ukapita...
leo mamy duu jiandae tuu kununa ile mitoto ya italy si mchezo..
Pole sana mumy kwa kifungo ulimpa mtu makavu live nini?........wewe subiri hao wazee wako watakavyolala mie wangu bado wabiiichiiii damu zao zachemka ntafaidije?....... Hata hivyo usijali mchepuko wangu ukipita hutapoteza kitu utafaidimo mema ya nchi.......hahahahahahaha...... Angalizo shogangu mchepuko usikuzingue mpaka utamani kumwadithia hubby!!!.......halafu isitutenganishe hii michepuko sawa ehhh tukashindwa kusalimiana huku nyumbani...lol
Asante mamy..
Kuna mtu alinikera nikamchambaa aka ni report..
Hahahaaaaa tutacheza ata kwa kulinda goli...na vile tumekomaa na tuna ma bek wa hatari..
Sitajali mamie mchepuko wako akipita nitakupongeza tuu ila uthinitanie yale matani ya Mentor...
Mchepuko haunizingui huu naupenda asilimia 20% tuu nyingine ni za my sweeet njia kuuu.
Akuuuuuu michepuko inaanzaje kututenganisha na akati ni kitendo cha kukushtaki kwa njia kuu yako ikusulubishe....
Hahahaaaaaa
Hahahahahahaha!!!!!! Swadaktaaaa!!! Naona unavipangua vidume kule mtaa wa pili si mchezo!!!! Loh!! Umenikumbusha siku ile nilivyowapeleka watoto wa Mourinho wiki nzima......
Kwa nini? Huwapendi?
Basi tu imetokea. Ukichangia walivyotudhalilisha pale wembley basi shida tupu
Mimi leo nipo na underdogs, Juventus!
hata ss hatutaki uishangilie usije ukaleta mkosi
Duh, huyu jamaa kapinda.
Niko pamoja na kibibi kizee cha Turin inshallah leo mnde anaweza kuangusha kabati.