Kutoka katika vilindi vya moyo wangu huyu dogo simtaki kabisa aaa yaani kwa mfano ikitokea akaja huku yaani maisha yangu kwa United sijui yatakuwaje!!!
Kiukweli tuliwamic saaana fanyeni mpango msimu ujao tucheze na nyie fainali maana nyie hata suo wachoyo
mwanamke hana amri juu ya mwili wake kwa mwanaume.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha kumbe ndio mana alikuwa anaachia tu hata hakuwa mbishi yani sio mchoyo ksbsa
Ila tatizo huwa hatulii, anatetemeka sana.
Kutoka katika vilindi vya moyo wangu huyu dogo simtaki kabisa aaa yaani kwa mfano ikitokea akaja huku yaani maisha yangu kwa United sijui yatakuwaje!!!
Sijawahi ishangilia barca maisha yangu
PNC 1 & Aleyn mnaboa kinoma yaani, mbona mnakua malimbukeni kiasi hicho, jifunzeni toka kwa Salamander na wana wengine, tumekubali mpo vizuri na huwa mnatuonea yes, mbona nae chelsea kawapiga mara mbili lakini akina Mentor hawahangaiki majukwaani kwenu.
if am wrong, take me as i'm

Mkuu, kwani ukiona unaumia nini, ina maana bado una uchungu mpaka leo!? Kama una uchungu mpaka leo basi soka unalielewa kwa tofauti, mpira ni burudani, ukikosa unacheka na ukipata unacheka!? Ukiona post yangu au PNC 1 sio lazima ucomment, unapita kimya kimya tuu.
ha ha ha ha ha ha hs ha ha ha ha ha ha ha labda bado anatetemeka mpaka leo
Sijawahi ishangilia barca maisha yangu
Sijawahi ishangilia barca maisha yangu
Mimi leo nipo na underdogs, Juventus!