Zis iz e gud nyuuzii u nooo!!! Mungu amponye lakini asirud uwanjani kwanza......
Confirmed: Kaumia hatacheza mechi hiyo
Mungu atusaidie tufunge tu maana kuna watu wanatamani sana tufungweee!!!
Jamani wewe chiko18 uponyaji ni haki ya mtu, apone haraka tu,Ila LVG asimkumbuke tena katika ufalme wake mpaka ligi iishe.
Hahaha injuries na RVP ni mtu na kivuli juani. Kacheza one good season afu karudi alipokuwa miaka 6 au 7 aliyokuwa kwetu, £24 Million in the bank, good money.
We haumjui huyu Mzee, yan cku atakayorud anaweza mpanga full tyme, nima best hawa yan, mung anisamehe2 ila apone ligi ikiisha2, bila kusahau ameeen
Correction : Hajaumia ila atakosa hiyo mechi kwa sababu hii
Manchester derby comes too soon for van Persie
Robin van Persie will not be rushed back into action in Sunday's Manchester derby despite returning to training this week.
£24 million?? unashangaa? kacheza miaka 6-7 kwenu Hajanyanyua kombe, kaja threatre of dreams msimu wa kwanza tuu kanyanyua kombe, sasa nani kapata hasara na nani kanufaika?
Mkuu plz jumapili ujitahidi uwepo hapa usikimbie lol
Mhh!! Nashindwa kuitikia Ameeen ,ugonjwa mbaya sana.....Giggs yupo awezi kukubali RVP apangwe,Lol
Hahahahaha hapo kwenye red hebu fafanua plz

Oyaa fungua mlango bana watu wafanye kazi yao wakamgongee mlango anayefuata
Mhh!! Nashindwa kuitikia Ameeen ,ugonjwa mbaya sana.....Giggs yupo awezi kukubali RVP apangwe,Lol
Giggs hana sauti pale. Anyway nataka Giggs achukuwe mikoba ili muanze kunywa Coca-Cola na kina Leeds Utd, Millwall, Derby County.
Mtani sisi kushuka utasubiri sanaaaaaaaa........
Hujalala tu....? J2 sio mbali City wanakuja hapo usipotee tu.
Nafanya kazi ya ulinzi nililala nikaamka hii ndo mida ya wezi inabidi niwe macho kweli kweli,lol
Heeee kweli aisee....mida hii wanajua kua watu wamelala fofo. Ngoja nikupigishe story huku ukiwa unalinda.
City wanakuja kukufunga j2 na uzuri michezo ya j2 tunaanzia Wa kwetu then tunakuja wenu!