Manchester United (Red Devils) | Special Thread

narudia tena,with LVG Man Utd will get nothing....I feel very sorry for my team
 
Bora kupoteza leo kocha ajipange draw za kuungaunga zinampa kiburi kocha kufanya majaribio ya wachezaji kila mechi. Timu lazima iwe na first eleven inayoeleweka sio kila mechi kubadilisha mabeki tu mwanzo wa msimu hadi sasa msimu unakaribia kuisha kocha hajawa na combination ya mabeki wa nyuma inayoeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…