Manchester United (Red Devils) | Special Thread

manure kweli hamshikiki....hahaaaaa,maumivu ya kichwa huanza pole poleeee
 
Tukubali washabiki wa Man U kuwa mwaka huu hatuna kikosi imara ndio maana tuna matokeo mabavu ila ni vizuri maana Fergie atajua kuwa kuchukua vikombe lazima uwe na kikosi imara sio cha kuungaunga
 
For those who claim kuwa Man utd bila Rooney si lolote si chochote they are kind myopic kwa mtizamo wangu. Lets facts speaks bana. Hivi mechi ngapi ambazo Rooney kakosa na tumefungwa?, may be sina kumbukumbu nzuri naomba nisaidiwe. Roughly, katika mechi 7 hivi tulizofungwa almost 5 kama sio sita Runi was there, Chelski (A), Liver(A), Fulham (A), Man City (A), Bayern (A), Aston Villa (H and A (FA semis), etc. Tangu kaumia, tumefungwa na Chelski, tukashinda na Bolton (hapa sikuwaona mkiongea), na droo na B'burn. So?, Much respect kwa Rooney na he is great. Nafikiri tunahitaji striker, goal poucher, the likes of Ruud Van na Torres and not unless otherwise.

Go United!
 
Sijui yule dogo Argentinian if he can resemble Ruud Van, Tores, Messi or alike. Otherwise tutapata shida zaidi msimu ujao.
 
Ebanae JF imerudi lini? Fellow Red Devilians mwaka huu hii ni wake up call nzuri tuu after all si unajua uwa tunarespond vizuri baada ya matatizo ya hapa na pale.



 

Nadhani hapa swali sahihi la kujiuliza ni kuwa Man U wameshinda mechi ngapi ambapo Roony alikuwa mfungaji?
 
Mnasahau kuwa mwanzo mwa msimu Ferguson alimchallenge Rooney kufunga magoli 30+ season hii.Akifunga Messi mnakaa kimya akifunga Rooney mnapiga kelele ebo ushabiki gani huu?
 
The Red Knights consortium has convened to finalise plans to launch a takeover of Manchester United and are hopeful terms of an offer will be ready this week.





However, the group of wealthy United fans, which includes Goldman Sachs chief economist Jim O'Neill, a former United director, and Mark Rawlinson, a partner at leading London law firm Freshfields, do not expect to make a formal bid for the club before the end of the season.
Wednesday's talks were held to confirm exactly where the money will come from to fund a bid and to determine the level of fan involvement in the proposed ownership structure.
A key discussion was also to focus on the £509 million bond taken out by the Glazer family, who currently own United - it is likely any takeover bid would have to entail retaining the bond.
Investment bank Nomura have been advising both the Red Knights and the Manchester United Supporters' Trust (MUST), who have been broadly backing the takeover bid.
A source close to the talks said: "We are now developing the financial model before making a bid. This is very much getting into the details of funding and future ownership."
The Glazers bought United for £800 million in 2005 but loaded debt on to the club - the total debt now tops £700 million.

source: soccernet.com
 
E bana we, wazungu kumbe wana mambo yale yele ya Uyanga na Simba wa bongo!
 
my fellow RED DEVILS FANS.....this season we were not good enough!we've lost 7 games so far this season,the last team to win a title after losing 7 games was blackburn i guess ni '95 season,we cant win a trophy playing the way we did,especially against blackburn,i hope some lessons have been learnt through this season,hats off to chelsea they deserve to win the title this season.lets wait next season.
 

Loosing 7 games hadn't been a great deal, take into account that the leaders have lost 5 game as well. I think the league was a bit balanced this season.
Nadhani sasa ligi inarejea kwenye enzi za ushindani wa kweli ambapo bingwa anakua point chini ya 80 na anayeshuka daraja anakua na point zaidi ya 40!

Msimu wa 1994/5 (na kurudi nyuma) kulikua na mechi 42. Mimi napenda sana kunapokua na ushindani wa kweli. Haipendezi timu kushuka daraja na point 11 kama ilivyotokea kwa Derby.

Cheki twakimu hizi hapa chini.




 

Attachments


42 games losing 7 kuna tofauti na 38 losing 7 or more...kama ingekuwa ni 42 games mpaka sasa kungekuwa na 8 games to go,nisinge rule out winning the title,ndio maana nikasema last team to win the league after losing 7 games ni blackburn na as you pointed out walikuwa na 42 games while now man utd lost 7 games with 4 to play to make it 38 games,nafikiri tuko pamoja
 
Tukisubiria Derby ya kufa mtu...
 

Attachments

  • Our-Players-Make-History-small.jpg
    13 KB · Views: 27
Nafikiri msimu huu MANCHESTER DERBY imekuwa the best derby in Europe
 

City's Kolo Toure battles with United's Wayne Rooney


Paul Scholes scored a last-gasp winner at Manchester City to put Manchester United firmly back in the Premier League title race.

The match looked to be heading towards a draw after United wasted chances through Wayne Rooney and Ryan Giggs.​

Rooney fired wide from 12 yards before Giggs shot weakly into the hands of Shay Given from closer range.​

But deep into injury time Patrice Evra floated in a delightful cross for veteran Scholes to head in.​

Full report to follow.​

 








 

Attachments

  • Sir-Alex-Ferguson-Manchester-United-Premier-L_2443338.jpg
    65.5 KB · Views: 33







 

Attachments

  • Wayne-Rooney-2-Manchester-United-Premier-Leag_2443309.jpg
    63.7 KB · Views: 40
man utd wana bahati sana leo, kombe walikuwa wanalichungulia kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaali sana.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…