Juzi juzi hapa watu walikua wanaifananisha MUFC na QPR...ila taratibu wameanza kustuka na kumeza maneno yao..
Na hii ni rasha rasha tu mvua kamili inakuja...
MUFC ni kama tunakimbiza mwizi kimya kimya kuna watu waishaanza kuofia nafasi ya kwanza na pili ya EPL especially kama tukiwafunga Southampton leo..