Manchester United (Red Devils) | Special Thread

vijana wana morali ya hali ya juu...tukimfunga soton tunachukua nafasi ya tatu tunaanza kutafuta ya pili...

vijana wana morali ya hali ya juu...tukimfunga soton tunachukua nafasi ya tatu tunaanza kutafuta ya pili...

Mmeshinda mechi mbili tatu, mshaanza kuota mchana kweupeeee. Ngoja tusubiri, ila mnajua kabisa pale St. Mary sio pa mchezo!
 
Mdogomdogo.
Dah! chama sasa linaanza kuturudisha enzi za kuandaa juice na popcorn kabla ya kuangalia game.
Moyes hutasahaulika kwa kutufanya tiamajitiamaji mpaka watu tukakonda kama washabiki wa Arse8.

Sababu mmeshinda vimechi kadhaa, hongereni, ila bado mtasota. Timu bado mbovu, magarasa na glass-legs kibao.
 
Mourinho kila akiitazama Manchester United kwa jicho la tatu anakosa amani kabisa yaani anaigopa UNITED kuliko CITY iliyopo nyuma yake...Progress ya UNITED ndio inayowanyima raha jamaa waliotangulia

Kasema lini hili au unazidisha mahaba! Anaiogopa Southampton na West Ham kuliko Manutd. Hivi kwanza rekodi yenu ya away msimu huu unaijua ilivyo? Na Mancity ndo vidume wa jiji la Manchester kwa sasa.
 
Mmeshinda mechi mbili tatu, mshaanza kuota mchana kweupeeee. Ngoja tusubiri, ila mnajua kabisa pale St. Mary sio pa mchezo!
Kwa...progress....ya....Man u....jinsi....inavyoonekana....inakufanya...hata...wewe....usijiamini....kwa....kauli....yako.....hiyo...
 
Sababu mmeshinda vimechi kadhaa, hongereni, ila bado mtasota. Timu bado mbovu, magarasa na glass-legs kibao.

siamini maneno haya yanatoka mdomoni mwa truegooner....mshabiki wa arsenal, timu mbovu imekufunga kwako,timu mbovu iko juu yako pamoja na wewe kucheza mechi zaidi...yaani hata tukifungwa na soton bado tupo juu yako na maana yake wewe ni mboooovu sana kuliko sisi.
 
Kasema lini hili au unazidisha mahaba! Anaiogopa Southampton na West Ham kuliko Manutd. Hivi kwanza rekodi yenu ya away msimu huu unaijua ilivyo? Na Mancity ndo vidume wa jiji la Manchester kwa sasa.

Kwani wewe ni Chelsea au arsenal? Au una urai pacha wa arsenal na chelsea?? Teh teh teh makocha na wale wanaoujua mpira kwa kucheza ndio wanaoweza kuitazama MU kwa jicho la tatu na sio shabiki mwenye uraia pacha kama wewe
 
Mmeshinda mechi mbili tatu, mshaanza kuota mchana kweupeeee. Ngoja tusubiri, ila mnajua kabisa pale St. Mary sio pa mchezo!

Hivi wewe kwani ulichapwa pale St. Mary au? Maana mashabiki bana akipigwa yeye basi hudhania kila team itapigwa pole sana ndugu endelea kubinya p*mbu
 
Kasema lini hili au unazidisha mahaba! Anaiogopa Southampton na West Ham kuliko Manutd. Hivi kwanza rekodi yenu ya away msimu huu unaijua ilivyo? Na Mancity ndo vidume wa jiji la Manchester kwa sasa.

Hiyo westham inayoogopwa na chelsea uliza ilifanywa nini na man u
 
Tukiwafunga Sants leo itakuwa murua sana tutajiweka kwenye nafasi nzuri zaidi hadi kufikia January maana hata kwenye usajili wa dirisha dogo itakuwa rahisi kushawishi wachezaji wazuri kuja Man Utd kwa kuwa watakuwa na chance ya kucheza UEFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…