Mi napenda kuona ni namna gani Van Gaal na timu yake wanazidi kuimprove...! Kwahiyo Mkuu Earthmover mi Nina hamu sn kuwaona hapo Emirates mkifanya Vzr..!
Mi napenda kuona ni namna gani Van Gaal na timu yake wanazidi kuimprove...! Kwahiyo Mkuu Earthmover mi Nina hamu sn kuwaona hapo Emirates mkifanya Vzr..!
I have a hunch that Van Gaal will
get it right and United might still
steal a top-four finish. But the club
has lost its fear factor. Opponents
used to think they might be lucky
to get a corner let alone a point at
Old Trafford. Not anymore.
Kuna habari kuwa Carrick naye kaumia tena akiwa katika mazoezi na timu ya taifa...
Natamani hii iwe tetesi tuu ila ya RVP natamani iwe kweli maana Falcao ameeleza kuwa yupo fit kwa sasa...
ningependa kumuona Falcao akipata dk zote 90 ili arudi katika kiwango chake na kuonesha uwezo pia thamani yake #MUFC ...