Robo saa baada ya game kuanza nilikua namuomba Mungu LVG amtoe Jazunaj maana nilimuona anacheza kwa kulazimisha hali fulani japo hakuweza na hakua anajua kuwa mpira sio yeye tu wapo 22 mle uwanjani finaly hakuna na macho anapiga ili mradi tu. Thanks LVG alilisikia ombi langu japo alichelewa kufanya maamuzi. Na wakati Wilson anajiandaa nikajua RVP nje eeeh kumbe Dimaria