Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"One down...😰"
Nimeichukua jukwaa la Arsenal hiyo
 
Mata off, Falcao in..

Dah! LvG na RvP wana mahaba ya kidachi kulaleki..
 
Hii kitu inanikera kweli ila ndo ivyo...

Falcao in Matta Out
 
Habari za siku mingi wadau wenzangu wa Old Trafford.

Nimepita mara moja kuwasabahi baada ya "kupotea" hapa mtaani kwetu kwa muda mrefu.
 
Dah tukishindwa kuwafunga hawa ..... kuna kitu kitakuwa hakipo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…