Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nipo Mkuu naflip channels huku na kule, naangalia pia mchapo wa Tottenham na WBA ila sana niko hapa kule bado ni 0-0


Jana nimesahau kukupongeza. Hongers aisee. Machungu ya Dortmund mliyamalizia jana. Ila UCL ndo kwaheri
 
Reactions: Nzi
Hawa tanesco wanataka niwape rushwa nin!!! ona wamekata umeme!!! daaaahh!!
 
Nafikiri jamaa anaongelea suala la mpira kuwa nje kabla krosi ya goli haijapigwa. Ingekuwa United imefunga baada ya mpira kuwa nje #WakaangaSumu wangemwaga shombo humu balaa...


Nimekupata kaka. Uzuri enzi za SAF zimepita, webb amestaafu. Wanakosa cha kusema
 
Reactions: Nzi
Last edited by a moderator:
Shukrani Mkuu ushindi wa jana ulikuwa mnono sana. Khe Khe Khe Khe dua la Bulldog kamwe halimpati binadamu utaona tunaendelea kutesa tu na nyie #wasagasumu na #mburukenge kuendelea kununa.


Haya. Mkitoka officially utakuja niambia
 
Last edited by a moderator:
Haki ya mama tukimpata mtu kama Hummels au CB dizaini yake...tutakuwa tupo kamili gado kuliko maelezo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…