Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa hii speed. Utaipenda united. Keep the spirit high.
Di Maria ugonjwa wa moyo.
 
4-3-3 leo ndo Formation mbele akiwa Rooney Falcao & Van-P
#GGMU
****
Leo Nitakuwa naifuatilia game mwanzo mwisho ila nikiweza takuwa nina update na huku pia..!!


Sasa hivi naangalia performance ya individual players. Naanza na shaw.
 
Khe Khe Khe Khe timu ya kata haitaki kuachwa nyuma, wameamua kukaza buti, lakini bado maji ni marefu kwao.
 
Khe Khe Khe Khe timu ya kata haitaki kuachwa nyuma, wameamua kukaza buti, lakini bado maji ni marefu kwao.

Arifu unajitekenya na kucheka mwenyewe.....

Karibu dimbani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…