palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Umeelezea vyema. Ila pia credit kwa hii timu. Inacheza kama ipo premier league siku nyingi. Wanajiamini sana...na hicho kinawasaidia la sivo wangekuwa wamefungwa!
Mkuu wangu nikiangalia nadhani pia Fletcher kashindwa kuunganisha timu vyema labda back line yetu inamchanganya sana lakini huyu dogo Blackett anajitahidi sana kama atapewa nafasi zaidi anaonekana atakuja kuwa mchezaji wa kutumainiwa England & Man utd.
kweli unachoongea maana hii formation ya 3-5-2 lazima hao mabeki wawili nyuma wawe na mapafu ya mbwa. ila tatizo wanapoteza mipira kirahisi sana na siyo muda mrefu watajuta.
vijana wako vizuri ila nyuma bado tunapwaya sanaaNaona bado mna struggle na timu ya kata dakika ya 33 bado 0-0, mkizembea na leo timu ya kata itawafanya vibaya.
yaani leo mijicho ni kwa bi mariam tu
vijana wako vizuri ila nyuma bado tunapwaya sanaa
Walifikiri leo atawakomboa kumbe kichapo kipo palepale!
Kuna watu wamo kwenye hili jukwaa sijui kwa nini hawapo kuwasaidia Burnley kuokota mipira maana uwanja hauna waokota mipira