mkishindwa leo na kikosi chote mmeingiza basi msimu huu mnapaswa kushuka daraja ( a joke)
naona nyuma tumepwaya lkn Mungu yupo vijana wana uhai sana tu
Uhakika wa ushindi upo RVP, WAZA, DE MARIA NA MATA lazima 2wauwe
31
Burnley 0 - 0 Manchester United
****
Sitaki kuamini huu uwanja unateleza kiasi hicho
Kesho dirisha linafungwa, kati ya vitu nitakavyolaumu ni kukosa kusajili holding mid wa uhakika
kweli unachoongea maana hii formation ya 3-5-2 lazima hao mabeki wawili nyuma wawe na mapafu ya mbwa. ila tatizo wanapoteza mipira kirahisi sana na siyo muda mrefu watajuta.
Mkuu flekcha hamna k2
wakati man imesajili Di mari kwa gharama ya £59.7m, Burnely wametumia £45m tu kusajili wachezaji katika kipindi cha miaka 132
ole wao man u leo waprove pesa sio kila kitu katika soka, ila bi maria yuko poa ingawa mwili wake utazani anakunywa maji na chumvi kama lunch
Di Maria na Mata...something still lacking. Nashindwa kuelezea vyema...
Halafu kuna defence...
Mkuu Mentor mpaka sana tatizo lipo back hawawezi kukaa na mpira wala kutoa accurate pass nadhani Rojo na Blind wakika pale story itakuwa tofauti.Evance confidence imeondoka kabisa kitimu kidogo kama hiki anababaika siku akikutana na foward za uhakika itakuwaje.
Hii formation ndo inaitwaje???
Di Maria na Mata...something still lacking. Nashindwa kuelezea vyema...
Halafu kuna defence...