Spurs kaachiwa nafac kw muda wao wnywe wanajua nafas siyo yao hahahhahaha iv man u wako nafasi ya ngap vileeee
hahahaha ............ iteteni nafasi yenu, hongereni kw ushindi mana droo ndio ushindi kwenu!"
Grand PA
Mta edit mwaka huu mpaka mchoke!!!! Fanya mfanyavyo mafanikio ya Man U mtayasikia, as long as msimu ndio uko mwanzoni
tanzania kila mtu ni mtaalam wa soka. Sijui kwa nini timu zetu hazifanyi vizuri
LVG halioni hilo, no wonder pundits wanacheeeeeka yaani katumia pesa miiingi kumnunua Di Maria, [....another 'Juan Sebastien Veron?' time will tell] badala ya kuimarisha Right back, Left Back na Centre back wa nguvu!.....
Mind you, miaka yote ManUnited tishio la mashambulizi yao yalikuwa yanaanzia Right back au left back kisha yanapanda na wingers,......ila ndio hivyo tena #BluePrint ya SAF imevurugwa!
Haya sasa Man City kaingia race ya kumtaka Di Maria kwa 85 mil Euros
Man City wamemwambia Di Maria asubiri maana wana mpango wakumnunua
Hi timu haiitaji di maria hata kidogo bali ina hitaji mabeki watatu midfilders wa maana watatu na striker mmoja wa maana bila hivyo mnawafata full ham na usajili wen u huo wa kukurupuka
Uza cleverly, young, carrick. fletcher na anderson
Hii ni mizigo
Brother, tatizo linaanzia number 6 kurudi nyuma. Hata akija, nadhani formation ya 352 haifanyi kazi, beji imetoboka na hatuna 6 iliyokamilika
Umeona mwaka jana tu, miaka yote ya nyuma hutaki kuitambua Sio
pole mkuu, ila unaweza ukahamia kwa akina costaaaaa.......... huku full shangwe, usiogope mbona hata wachezaj wanahama timu.
Grand PA
Haya sasa Man City kaingia race ya kumtaka Di Maria kwa 85 mil Euros
Man City wamemwambia Di Maria asubiri maana wana mpango wakumnunua
pole mkuu, ila unaweza ukahamia kwa akina costaaaaa.......... huku full shangwe, usiogope mbona hata wachezaj wanahama timu.
Grand PA
hahahaha ............ iteteeni nafasi yenu, hongereni kw ushindi mana droo ndio ushindi kwenu!"
Grand PA
Uza cleverly, young, carrick. fletcher na anderson
Hii ni mizigo
mijitu mingine bwana ovyooo!! yaani mbwembwe zoote kumbe shabiki wa chelsea yaan mi nkadhan may b livepool or elsee hebu tuwekee attachment ya trophy cabinet yako kk tuone!!!
Mm ni mwanachama wa Man U kwa miaka 15 iliyopita na usafiri kwenda kuangalia live mechi kila mwaka , waweza kuangalia acc zangu 3 za fb nnazotumia kwa jina langu hilo, Sio rahisi kuhama club yenye mafanikio kuliko timu yyt Uingereza
Waonee hurume wenziyo weye khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Young Diver naona alikuwa anafanya kazi yake leo khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee