Mkuu kweli unataka hao wachezaji waondolewe msimu huu? unajua zimebaki siku 9 dirisha la usajili lifungwe
Kwa hizo siku 9 unategemea Utd watapata quality players wa kuwa replace hao wachezaji wote?
Tatizo la Utd lipo hapo na hiyo ndio dawa yake.
Nami naungana na wewe..naona ka ni mwingi wa story wakati ufanisi sifuri
Ed woodward akitaka kuwe na peace na harmony awalete vidal na di maria
Di Maria ni mchezaji mzuri lakini hata akija tatizo letu la msingi ni kiungo mkabaji litakuwa bado game ya kesho Carick,Herrera,Fellaini wote ni majeruhi so viungo waliopo ni Fletcher na Cleverley.Nafikiri tungeweza kutafuta option ya kiungo kama De Jong,Luiz Gustavo au Khedira.Tunapaswa kuanza ligi vizuri ili tuweze kupata wachezaji wengine JanuaryYaani hata mi nashndwa kuelewa,madrid hatamtaki di maria di maria nae anataka kuondoka sijui kwa nini lvg hapeleki ofer tukamchua yule atakuwa ni very useful player kwetu hasa kwa kukiangalia kikosi ambacho tunacho kwa sasa
Di Maria ni mchezaji mzuri lakini hata akija tatizo letu la msingi ni kiungo mkabaji litakuwa bado game ya kesho Carick,Herrera,Fellaini wote ni majeruhi so viungo waliopo ni Fletcher na Cleverley.Nafikiri tungeweza kutafuta option ya kiungo kama De Jong,Luiz Gustavo au Khedira.Tunapaswa kuanza ligi vizuri ili tuweze kupata wachezaji wengine January
Yaani hata mi nashndwa kuelewa,madrid hatamtaki di maria di maria nae anataka kuondoka sijui kwa nini lvg hapeleki ofer tukamchua yule atakuwa ni very useful player kwetu hasa kwa kukiangalia kikosi ambacho tunacho kwa sasa
Sijui kwanini mpaka leo sipendi Di Maria atue Man Utd naona uwezekano iwapo atachukuliwa anaweza kumzibia nafasi Januzaj asipate namba mara kwa mara.
Tatizo kuu la Man mpaka sasa ni beki na kiungo mkabaji.
Ila tukiwa na wachezaji wengi wazuri kwenye kikosi ni jambo zuri hata akiumia mmoja hatukosi option bSijui kwanini mpaka leo sipendi Di Maria atue Man Utd naona uwezekano iwapo atachukuliwa anaweza kumzibia nafasi Januzaj asipate namba mara kwa mara.
Tatizo kuu la Man mpaka sasa ni beki na kiungo mkabaji.
kama hamna dalili za kumchukua kiungo mkabaji si ni vyema tukamchukua hata huyo wing player ambae yuko available kwa sasa maana nafasi hz hazipatikani mara zote!! Wachezaji kama hawa huwa on high demand always.Di Maria ni mchezaji mzuri lakini hata akija tatizo letu la msingi ni kiungo mkabaji litakuwa bado game ya kesho Carick,Herrera,Fellaini wote ni majeruhi so viungo waliopo ni Fletcher na Cleverley.Nafikiri tungeweza kutafuta option ya kiungo kama De Jong,Luiz Gustavo au Khedira.Tunapaswa kuanza ligi vizuri ili tuweze kupata wachezaji wengine January
LVG anatoa suggestion, Ed Woodward anaenda kusajili.
LVG anawataka Vidal na Di maria
Lvg alisema anamsubiria strooman apone na kumuangalia kiwango chake with an option of buying him katika usajili wa dirisha dogo
Yani tungempata De Jong angetusaidia sana kuziba pengo la kiungo mkabaji, pia tunahitaji Beki mwingine wa kati mwenye uzoefu. Kupoteza game mwanzoni kutashusha kujiamini kwa timu na kutazifanya timu nyingine hata ndogo kutukamia kwa kujua kuwa tunafungika kirahisi
Mkuu wangu nadhani hilo si jambo jema kwasababu tujisubiria hadi dirisha dogo la usajili ipo hatari moja kubwa ambayo ni kufanya vibaya kipindi hiki hadi hilo dirisha dogo sasa utakuta hata akisajiliwa inakuw haina maana sana.
Pamoja na matatizo yetu yote Mr Bean hajawahi kutufunga
Wacha fujo wewe nakualika basi njoo Emirates uangalie kombe hili hapa chini. Ebo!
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha fujo wewe nakualika basi njoo Emirates uangalie kombe hili hapa chini. Ebo!
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee