Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna wachezaji kama Yoro, Maguire Kila ukiwapamba uwape sifa akili inakataa, sasa Yule Yoro pale alitaka kufanya nini?, Kila mechi ni kama Fainali kiasi ambacho inafanya vichwa vibovu wanafanya Makosa ya hovyo...Kusema kweli kuna Ideas Fulani Carrick anazo sema presha inazidi kuwa kubwa Kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…