Alipipi asirudie kuweka direct score,
Wachezaji wetu Wana mentality mbovu, hawatufai au wabadili mentality wajue kupambana dakika 90 kila game
Wajue wanataka nn uwanjani kuanzia dakika ya 1 mpaka ya 90
Huyu zirkizee hakuna mchezaji, toka mechi ya kwanza nilijua EPL huyu ni takataka.
United wachezaji Wana mentality ya timu ndogo ndogo, hawafai karibu 90%
Na bado nashangaa dirisha dogo hatufanyi sajili.
United inachosha Kwa miaka ya sasa
Halafu ndio unakuta mtu wa timu ya porini uko anamfananisha Amad na winga zake zinazotumia mguu mmoja na mwingine anakokota mpira akiwa ameangalia chini kama kadondosha sindano.