Inapotokea mbungi ya livakuku na manyuu, liva huwaga hanaga huruma kabisa.
Yake majamaa yao hayachoki kufunga!
Kuna Diaz,salah na wale wahuni wengine huwa kama wanawakomoa nyumbu.
Hivi hili saga la Dani Olmo limekaaje pale Barca?
Kama kuna uwezekano tuangalie namna hata ya kumuazima ili amsaidie Bruno maana jamaa namkubali sana sijui kwanini alidumu sana pale Leipzig na form yake ile.