Man utd wakishuka Daraja najitolea kumnasa makofi Mwakinyo popote pale atakapokuwepo....hii nitafanya kama nimejitoa Kafara kwa furaha nitakayokuwa nayo.
Kocha kaja anataka mfumo wa 3-4-3 wachezajinwenyewe wakina maguire π€£π€£π€£π€£ vichwa vizito kuliko ata mie backbencher.
Sasa jamani 3-4-3 ndio mfumo rahisi duniani kucheza. Tunashabulia 7 nyuma tunabaki watatu. Simple kabisa.
Huyu mazrawiii anaenda kaba ku,uia cross kama ana mbooo matakoni.
Wacha nikaale sasa ha.na mpira hapa
Hivi mna uhakika hii kweli ni Manchester United?
Isije kua tunashangilia Pamba United halafu mashabiki wenyewe hatuna habari.
Hili timu limetufanya mashabiki wake tumekua sugu wa vipigo.