Fletcher anatakiwa kucheza kiugumu kama Valencia unavyoona hapo. tatizo fletcher mwepesi sana,veery soft watu wanampita tu hapo hata hawamuogopi.kiungo hapo inatakiwa uwe na moyo wa chuma.
Tehe tehe teheheeee...leo hata lugha ya kiswahili huielewi...ila we ni namba moja kwenye kumkosoa DM...Mara angemtoa flani mara kwannn hajampanga huyu...Leo mpaka Kagawa ndani, msiwe na visingizio.
Hii game mbona kama Bayern ana harufu ya kufungwa?tena ghafla tu,kama lile goli la Rooney la siku ile...aargh,nimesema sishabikii timu,..toobaa,huyu Ribery mbona mnoko,uuph,bora kakosa..aargh,sishabikii nimesema!