Taratibu tutaingia kwenye mchezo, Bora ufungwe lakini uonekane timu inajaribu kutafuta kitu gani, wachezaji wetu wote walianza chini kabisa, sijui hawakuwa na mood ama vipi. Mmeona Sasa Kuna wachezaji taratibu utawaona hamna kitu lakini kipindi cha ETH walidekezwa...Sasa hivi tutakuwa direct kutafuta wachezaji watakaofaa na huu mfumo, quality unazihesabu Sasa hivi, hii ni ishara nzuri kwetu.