Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ningependa kumwona Nani akiingia katika kipindi cha pili...
 
Am enjoying football...lol.

Though Fellaini inabidi afungwe tu mikono asijesababisha majeruhi kwa watu.
 
Of course, the goal was made so by Chicharito....his pass was classy...
 
United have been the best when playing away games...holding the best away record for this season...
 
nilijua tu kuna siku mtamkubali huyu mtu. ni mchezaji wa uhakika sana hasa kwenye kukaba.Msimu ujao yeye na Jones nadhani watakuwa mihimili ya hii timu.
Shikamoo Mr. Fellaini
 
Shikamoo Mr. Kagawa...

Moyes, umenisikia?

Buttner is on for Evra...63rd min..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…