GE2025 Manara: Wamiliki wa Malori fuateni Sheria, bora mtunyime Kura lakini Malori yatoke Kariakoo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo.

‎Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli ya maulidi iliyofanyika Madrasatul Khayriyyatul Hasaniyyah, Mtaa wa Bonde na Mkunguni, Manara alisema kuwa licha ya kuwa ni mgombea na anahitaji kura, suala la usalama na heshima ya sheria haliwezi kupuuzwa.

Soma > Manara: Nitamfikia kila mpiga kura wa Kata ya Kariakoo

‎‎Malori makubwa yamekuwa yakisababisha foleni, usumbufu kwa wananchi na watumiaji wengine wa barabara, na pia kuharibu miundombinu. Sheria inaruhusu malori yenye uzito usiozidi tani kumi pekee kuingia katikati ya mji, lakini kwa sasa yapo malori yanayozidi kiwango hicho.

‎Manara alisisitiza kuwa jiji linaweza kuendelea kuwa na mpangilio bora endapo kila mmoja ataheshimu taratibu zilizowekwa, na kuwataka wamiliki wa malori kuhakikisha wanayaondoa mara moja katika maeneo yasiyoruhusiwa.

‎Aliongeza kuwa ni muhimu wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa kufuata sheria ili kuepusha madhara makubwa kwa wananchi na kulinda miundombinu ya jiji.

‎Shughuli hiyo ya maulidi ilihudhuriwa na waumini na wakazi mbalimbali wa eneo la Kariakoo, ambapo Manara alitumia jukwaa hilo pia kusisitiza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi kwa vitendo vinavyoleta manufaa ya moja kwa moja kwa jamii.

Anavyoongea utadhani kuna uchaguzi kweli.

Na anafanya nchi ionekane wote hawana akili hivi mamlaka zinazoshughulika na barabara hazipo hadi mtu kama huyo asiye na taaluma yoyote kuhusu barabara aongee?
 
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo.

‎Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli ya maulidi iliyofanyika Madrasatul Khayriyyatul Hasaniyyah, Mtaa wa Bonde na Mkunguni, Manara alisema kuwa licha ya kuwa ni mgombea na anahitaji kura, suala la usalama na heshima ya sheria haliwezi kupuuzwa.

Soma > Manara: Nitamfikia kila mpiga kura wa Kata ya Kariakoo

‎‎Malori makubwa yamekuwa yakisababisha foleni, usumbufu kwa wananchi na watumiaji wengine wa barabara, na pia kuharibu miundombinu. Sheria inaruhusu malori yenye uzito usiozidi tani kumi pekee kuingia katikati ya mji, lakini kwa sasa yapo malori yanayozidi kiwango hicho.

‎Manara alisisitiza kuwa jiji linaweza kuendelea kuwa na mpangilio bora endapo kila mmoja ataheshimu taratibu zilizowekwa, na kuwataka wamiliki wa malori kuhakikisha wanayaondoa mara moja katika maeneo yasiyoruhusiwa.

‎Aliongeza kuwa ni muhimu wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa kufuata sheria ili kuepusha madhara makubwa kwa wananchi na kulinda miundombinu ya jiji.

‎Shughuli hiyo ya maulidi ilihudhuriwa na waumini na wakazi mbalimbali wa eneo la Kariakoo, ambapo Manara alitumia jukwaa hilo pia kusisitiza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi kwa vitendo vinavyoleta manufaa ya moja kwa moja kwa jamii.

Haji kweli unaujua utamu wa kura kweli,hasa ile imuhusuyo mwanaccm au kwa kua ndio kwanza unatafuta kuonja utamu wake?je wenzio wanakuelewa kweli au upo tayari udiwani wako ugawiwe kwa chauma!
 
Manara mwenyewe sasa
JamiiForums-1290500738.jpg
FB_IMG_1713799997765.jpg
JamiiForums1940860964.jpeg
Screenshot_20240817-193139.jpg
 
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo.

‎Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli ya maulidi iliyofanyika Madrasatul Khayriyyatul Hasaniyyah, Mtaa wa Bonde na Mkunguni, Manara alisema kuwa licha ya kuwa ni mgombea na anahitaji kura, suala la usalama na heshima ya sheria haliwezi kupuuzwa.

Soma > Manara: Nitamfikia kila mpiga kura wa Kata ya Kariakoo

‎‎Malori makubwa yamekuwa yakisababisha foleni, usumbufu kwa wananchi na watumiaji wengine wa barabara, na pia kuharibu miundombinu. Sheria inaruhusu malori yenye uzito usiozidi tani kumi pekee kuingia katikati ya mji, lakini kwa sasa yapo malori yanayozidi kiwango hicho.

‎Manara alisisitiza kuwa jiji linaweza kuendelea kuwa na mpangilio bora endapo kila mmoja ataheshimu taratibu zilizowekwa, na kuwataka wamiliki wa malori kuhakikisha wanayaondoa mara moja katika maeneo yasiyoruhusiwa.

‎Aliongeza kuwa ni muhimu wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa kufuata sheria ili kuepusha madhara makubwa kwa wananchi na kulinda miundombinu ya jiji.

‎Shughuli hiyo ya maulidi ilihudhuriwa na waumini na wakazi mbalimbali wa eneo la Kariakoo, ambapo Manara alitumia jukwaa hilo pia kusisitiza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi kwa vitendo vinavyoleta manufaa ya moja kwa moja kwa jamii.

Lini ataoa tena?
 
Back
Top Bottom