Manara limemkuta jambo

Ukiona mwanaume anabishana na mwanamke namna hii tena public hivi huyo hana akili
 
Hatarii na mm nimeona kwa Mange...duuh yani Dai anapelekeshwa na manara kama zuzu...na kesi yenyewe wakashindwa sijui wakaikimbia
 
Ila Manara nae atakua ni tatizo, haiwezekani kila mwanamke anaeoa anaachana nae na wanatoka wakilalamika. Huyo Cheupe ana matatizo makubwa na angekua anajitambua sasa hivi angetulia tu, na asioe tena maana ana watoto wakubwa na umri ndio dakika za majeruhi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…