MANANO HAYA YANA UKWELI NDANI YAKE.......

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
BABA NA MAMA WANAWAWEZA KUWAANGALIA WATOTO 8 LAKINI WATOTO 8 HAWAWEZI KUWAANGALIA BABA NA MAMA.jpg

AJABU NA NI KWELI KUWA.....BABA NA MAMA WANAWEZA KUWAANGALIA WATOTO 8 KWA WAKATI WOTE . LAKINI WATOTO 8 HAWAWEZI KUWAANGALIA BABA NA MAMA.............
 
Wazazi wengine huwa hawataki kuboreshewa makazi yao
 
Inauma sana.

Halafu unakuta kati ya hao Watoto Uwezo wanao (Mambo ya maana)
 
na wao wanaweza kuwa na watoto zaidi ya 8 kila mmoja na wakawaangalia watoto wao
migawanyo ya majukumu
 
Back
Top Bottom