Managing Director anastahili allowance zipi

Managing Director anastahili allowance zipi

IKISU

Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
64
Reaction score
13
Habarini wakuu mimi nipo kampuni moja hivi la watu wa kutoka kazakhastan sasa huyo Managing Director wetu anataka kulipiwa hadi sigara na kampuni yaani kila wanacho nunua wanareta risiti, sasa naomba kuuliza kwa wale wanaojua Managing director ana stahili allowance zipi mbali na mshahara wake?
 
Ndugu maswali mengine yanaugumu kwani kila kampuni lina sera zake,ukiweza kupata mkataba wake wa kazi utapata majibu ya swali lako.Kama kuna mtu atakujibu ni generalization,mkataba wake ndiyo utasema kama anastahili kupewa allowance au la ni ni allowance za vitu gani.Soma sera/policy za hiyo kampuni yako unaweza pata kitu.
 
Asante sana mkuu Aqua kwa ufafanuzi wako mzuri, pia lakini nilikuwa napenda kuzijua hizo general.
 
Back
Top Bottom