kindagaten
Member
- Jan 21, 2025
- 13
- 39
Acha uchawiManager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
Uzalendo huoAcha uchawi
Asipo jirekebisha nitaweka ushahidi wote hadharani. Mm ni mlipa Kodi kindakindaki alafu mtu anakwepa Kodi kizembe kutunisha matumbo ysoAcha uchawi
Utakufa maskini mileleManager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
Hilo sii lakuuliza ni mwendo wakula kwa urefu wa kwiaambaaa,nenda kwenye sehemu zilizotakiwa kusomana,ili kulipa tozo ,kodi na ushuru mbali mbali uone mizengwe yake ili nia ya mifumo kusomana isitimie ili wala kwa kamba ama maagizo ya kupata pesa za chafuzi yatimie?Manager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
Swala la uzalendo hukulisoma nini? Pesa zikatujengee madarajaNongwa..............gubu.........wivu .............choyo..............hasira ............utakuja kupigwa jiwe la kizazi bila kumuona mrushaji
Weka huo ndio uzalendo wa kweli na sii uzalendo wa kimchongo au wa kimaslahi wa wanaccmAsipo jirekebisha nitaweka ushahidi wote hadharani. Mm ni mlipa Kodi kindakindaki alafu mtu anakwepa Kodi kizembe kutunisha matumbo yso
Hata tlaatilaah,Chooisi na Kieeembe wanalijua hili na machawa wote.Na hii ndio Tanganyika ya CHURA YY Dalali je wateule wake?
KAZI ni kipimo cha utu
Sema mwendo wa ccm huoTakrima imehusika
Mhifadhi binadamu mwenzio, na wewe ipo siku utahifadhiwa. Unaweza mvurugia mfumo wa maisha yakeAsipo jirekebisha nitaweka ushahidi wote hadharani. Mm ni mlipa Kodi kindakindaki alafu mtu anakwepa Kodi kizembe kutunisha matumbo yso
Kila siku mnalalamika CCM mafisadi, Sasa tra ni CCM?Utakufa maskini milele
🙊Nongwa..............gubu.........wivu .............choyo..............hasira ............utakuja kupigwa jiwe la kizazi bila kumuona mrushaji
Sasa Nini kimekuleta Kama huna na huweki ushahidi hapa? Au nawe unataka rushwa ili uweke huo ushahidi?Asipo jirekebisha nitaweka ushahidi wote hadharani. Mm ni mlipa Kodi kindakindaki alafu mtu anakwepa Kodi kizembe kutunisha matumbo yso
Nitauweka hapa punde tu, ninaushahidi wa kutosha, nakamilisha mambo machache. Ni vema tuwe na wazalendo wa kweli wa Nchi yetu, tutafichua Kila Kona tuilinde Nchi yetu na mafisasiSasa Nini kimekuleta Kama huna na huweki ushahidi hapa? Au nawe unataka rushwa ili uweke huo ushahidi?