magagagigikoko
Senior Member
- Nov 13, 2017
- 166
- 167
hivi kuna watu wanatumia tigo
Same aiseee naonaga kama mtandao wa kitoto totoKati ya kampuni ambayo siwezi kujaribu kuwa na chip yake ni Tigo.
Wala Tigo haikuhusu dogo. Huu mtandao ni kwa wale wanaishi Mjini sasa wewe unaishi Kirando huko Namanyere au Mwandiga huko Kigoma Tigo haikuhusu pita kimia tuKati ya kampuni ambayo siwezi kujaribu kuwa na chip yake ni Tigo.
Mbona kazi ndogo wakuu, kuna vitu vitatu vya kufanya hapo
1. Block
2. Block
3. Block
Tangu nifanye hivyo sipati usumbufu wa tigo app, tatu mzuka, na wengineo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia Tecno, kuna inside app inaitwa Harassment block, ukiifungua unaweza ku block number unayotaka either kwa kuiingiza au kuitoa inbox au kwenye calls
seriously?? hebu fafanua kwanza utoto gani huo? usikute wewe ndo unaleta mambo ya kitoto kwenye huo mtandao hebu fafanua kwanzaSame aiseee naonaga kama mtandao wa kitoto toto
bila shaka upo bush mkuu........hata dar kuna vijiji mkuuhivi kuna watu wanatumia tigo
Nyau pori, kimia ni kiti gani? Usiwe unaongea kama vile siyo bwege.Wala Tigo haikuhusu dogo. Huu mtandao ni kwa wale wanaishi Mjini sasa wewe unaishi Kirando huko Namanyere au Mwandiga huko Kigoma Tigo haikuhusu pita kimia tu
Umekalia jiti mkuu, tulia dawa ikuingue usipanic yote maisha tu. Wasalimie huko Kirando wauza Samaki wenzio.Nyau pori, kimia ni kiti gani? Usiwe unaongea kama vile siyo bwege.
Unafanyeje mkuu kuwablock? Mazafantaz wanasumbua sanaMbona kazi ndogo wakuu, kuna vitu vitatu vya kufanya hapo
1. Block
2. Block
3. Block
Tangu nifanye hivyo sipati usumbufu wa tigo app, tatu mzuka, na wengineo
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa kero sana, yaan kila baada ya dakika10 sms, hizo za mikamali ndio usisemeKwa siku za karibuni mtandao wa Tigo umekuwa na matangazo mengi kupitia sms. Matangazo ya matumizi ya Tigo app na mengineyo. Lakini wanaenda mbali zaidi mpaka wakati mwingine kupiga simu kwa wateja kuwaeleza habari za kitu kinaitwa Tigo Bima.
Haya matangazo yao yanaboa sana. Msg zinaingia wakati mwingine mtu uko busy na kazi zako, unahisi ni msg ya maana, unakutana na msg ya Tigo app. Na haya mambo TCRA ilishayakemea, kwanini bado yanaendelea?!
Sent using Jamii Forums mobile app