Management By Loitering | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Management By Loitering

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by udongo, Mar 25, 2011.

 1. u

  udongo Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini kuna aina nyingi za management lakini hii mpya ya JK ya Management By Loitering siielewi maana anapita kila wizara ana sababisha foleni tuuu mjini bila kutoa ufumbuzi wa jambo lolote. Bora akae magogoni na awe anafungua semina na makongamano mpaka 2015 tuchague mtu mwingine.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  HILI LA MZEE KIKWETE MI-WIZARANI NDIO TUSEME NI UTALII WA NDANI YA
  NCHI AU KUNA JEMA LOLOTE TUKALITEGEMEE MLE???


  Eeehh, kweli hii tamu na wakati mwingini huwa tunaliita hilo MBL ulilosema kama Administrative Moonlighting = a situation whereby an organisational executive pitches him or herself in such a manner so as to be seen to be very busy but with almost zero results or impact to show on the table!!!

  Wakati mwingine ma-executives wazembe wazembe humezwa na temptation ya kuingiza ndugu, jamaa na marafiki kila mahali kwenye ajira zuri zuri hivi na matokeo yake wote huanza kuzembea kazi kama vile ni mali binafsi ya ukoo wao. Hilo ni kwa msaada wa kile tunachoita Management By 'Bird-Feathering' (MBBF).

  Lakini mara baada ya mkubwa kumaliza loitering yake kote, nadhani kwamba wala hana habari kama wengine tunamsoma kwa jicho la tatu hadi hivi sasa kwenye zoezi hili, tutapenda atufahamishe HOW THINGS HAVE BECOME SO DIFFERENT in the Ministries he visited so far.

  He must also seek to show Cost-Benefit rationale for our taxes that had to be committed in his entourage. Pale tunaposema asisafiri sana bali atulie nyumbani akafanye kazi wala hatuna maana sawa na kusema kwamba pindi atakapotumia rasilmali zetu (kodi) kwenye utendaji wake kama huu wa kutembelea Wizara mbali mbali basi hatutohoji faida iliopatikana na juhudi kama hizo ukilinganisha na thamani ya fedha alizotumia mle kama zingalitumika kwingine katika uzalishaji ndani ya uchumi wetu.

  Mzee Kikwete tunasubiri ripoti (sisi mabosi wako wapiga kura) kamili ya ziara yako mi-wizarani as against resources ulizolazimika kutumia na justification ya kila kipengele. Laa sivyo siku nyingine wala hatutaruhusu Mustafa Mkullo kugharamia hivi hivi utalii wa aina hii ndani ya nchi.
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  MBWA - management by walking around
   
 4. u

  udongo Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  loi·ter (loi[​IMG]t[​IMG]r)
  intr.v. loi·tered, loi·ter·ing, loi·ters 1. To stand idly about; linger aimlessly.
   
 5. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Among the best management strategies
   
 6. Mwathirika

  Mwathirika JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  That is his ability to think and do, what did you expect him to be doing? Otherwise he will be going abroad any time soon if you provoke him, be careful!!!!
   
Loading...