Manabii weusi

asante africa

Member
Jul 10, 2015
51
106
Habari humu ndani. Hivi ni kweli mtu mweusi kalaanika maana mafundisho tunayo pewa na walio tuletea dini,, wana tuambia kila nabii ni mweupe

Je ni kweli yesu, musa, ibrahim niweupe kama tunavyo funzwa??
 
Jesus, Bob and H.I.M

53576457c2e448bde760da3d00149a4f.jpg
 
Ni kweli mtoa mda hakuna nabii ata mmoja aliekuwa na black skin lakini hiyo haimaanishi tumelaanika laah ashaa

Ila hakuna viumbe ambao ni waelewa kama sisi wenye ngozi nyeusi embu fikira waisrael waliletewa yesu wakamkana
waarabu ilimchukua mtume Muhammad(S.W.A) miaka karibu arubain ili uislam kusimama....

Ila waarabu na wamishonari wahakuchukua ata miaka kutufundisha na kuzikubali hizi dini mbili ambazo ndo kubwa
tuliamin mapema na kufata mafundisho this means sisi ni waelewa na watiifu ndo mana muumba hakuna umuhimu wa kutushushia nabii kwetu sisi
 
Back
Top Bottom