Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,926
- 4,110
Kwenye video ya Gwajima tuliona jinsi akina Kakobe na manabii wengineo walivyotoka hadharani kupinga, kukanusha na kumtetea Gwajima. Ni kawaida yao kuwa pamoja hata kwenye makongamano fulani fulani.
Lakini kwenye hili la Mwamposa wote wapo kimya. Hakuna cha Nabii wala mtume aliesema chochote kumtetea Mwenzao. Nadhani ni kwa sababu hili lililomkumba mwenzao limetokea hadharani and "Beyond no doubt". La Gwajima lilitokea sirini with no concrete witness japo video ilikuwa wazi kabisa.
Ni wakati muafaka sasa mtoke hadharani mzungumze chochote si ni kawaida yenu kutoa matamko kila linapotokea jambo fulani kwa mwenzenu? Hasa Gwajima, Kakobe, Mzee wa upako, Nabii Suguye tokeni tuwasikie.
Sent using Jamii Forums mobile app