Man water kumrudisha 20% kwenye muziki, aweka sababu zilizomkwamisha

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Mtaarishaji wa muziki man water (walter?) amesema anamrudisha msanii 20% kwenye muziki na alikuwa amekwamwa kutokana na wao wawili kukumbwa na matatizo ya kifamilia, lakini wana nyimbo ambazo wameziandaa ila watazitengenezea video ili watu wamuone alivyo ndio nyimbo itapata kiki nzuri
 
Kila la kheri. Uzuri wa muziki wake, ulibebwa sana na aliyokuwa akiyasema zaidi ya jinsi alivyoyasema. Kwa lugha rahisi, dude built and conquered on messages he was delivering, rather than swag. Swag plays out with time.
 
Msanii 20% kama isinge kuwa mambo yake ya kijinga angekuwa mbali sana kimafanikio sema uhuni wa kijinga umempoteza ngoja tusubiri huenda kajirekebisha!
 
Ajipange sana kwa kweli maana sasa hivi maskio ya watanzania yameshikwa na wasanii wachache sana.....
 
Mpaka aje afikie level zile alizokuwa anaitajika afanye kazi ya ziada
 
Huyo jamaa kipaji alipewa kwa bahati mbaya lakini hakustahili kabisa kuwa nacho
 
20%, chidi ben, ray D, na kR wAUNDE KUNDI MOJA labda itawasaidia kurudi kwenye game.. ila hvihvi hata ije miujiza hamna kitu waachie ngazi aisee wasanii ni wengi sio wao tu hata kazi watu wanastaafu
 
20%, chidi ben, ray D, na kR wAUNDE KUNDI MOJA labda itawasaidia kurudi kwenye game.. ila hvihvi hata ije miujiza hamna kitu waachie ngazi aisee wasanii ni wengi sio wao tu hata kazi watu wanastaafu
Kr ni msanii anaebebwa na makundi sidhan kama kuna nyimbo alizosimama peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…