Man water kumrudisha 20% kwenye muziki, aweka sababu zilizomkwamisha

Lile halikua bifu kama la 20%. Huyu jamaa pamoja na bifu akahamia moro. Jani sana pombe humo humo. (Hapa anaongelewa 20% dai ameingiaje hapa?mbona hujamtaja jay dee na wengineo. Acha utimu shabikia msanii umpendae bila kumshusha usiye mpenda)
Mbona Dai hakupotea???
 
Amesema wanamuziki wote wanaokorofishana na maproducer wanapotea, mie nikatoa vivid evidence kuwa mbona Dai hajapotea.....sasa wewe unapokuja na kuanza kupanic kwa kuwa Dai katajwa unashangaza!!!.....Kwani Dai ni nani asitolewe mfano???
Ulishaniona kwenye hizo team zenu? .....kwanini unamtetea Dai kuwa namchukia, umekuwa mnajimu???
 
Usipanic umeniquote hapo juu ndio maana natetea point yangu.kwenye maelezo nimesema wasanii wengi sijasema wasanii wote
Amesema wanamuziki wote wanaokorofishana na maproducer wanapotea, mie nikatoa vivid evidence kuwa mbona Dai hajapotea.....sasa wewe unapokuja na kuanza kupanic kwa kuwa Dai katajwa unashangaza!!!.....Kwani Dai ni nani asitolewe mfano???
Ulishaniona kwenye hizo team zenu? .....kwanini unamtetea Dai kuwa namchukia, umekuwa mnajimu???
 
Alimchapaga makonde man water na kwa maskio yangu nkamsikia jamaa anasema hataki tena kumsikia,na ndo dogo akapotea kwenye gemu
 
Nakumbuka siku huyo asilimia 20 alipita pale msamvu stendi akiwa kwenye basi sijui alikuwa anaenda Dodoma au Iringa

Watu si wakaanza kumshangilia na alikuwa katoka kulamba zile tuzo zake

Akajitokeza dirishani kavua suruali akaonyesha makalj yake nje matako wazi kabisa kama wale akina mama wa harusi wavaa madera wanavyofanyaga

Nilimshusha sana aisee
 
Back
Top Bottom