bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Baada ya Arsenal kumsajili Mswizi Granit Xhaka na Man Utd kumsajili Pogba Mfaransa. Mashabiki wengi wa timu hizi mbili walikua wakiona kwamba fulani kamzidi mwenzake uwezo wa kusakata kabumbu, ila kwa sasa sisikii sana mlinganisho/majigambo hayo.
Je, kwako mdau wa soka ndo EPL hiyo ikiendelea na michuano mingine ambayo timu zote mbili hizi Arsenal na Manchester United wachezaji hawa wakichezea ni yupi bora mpaka sasa? Kwa kifupi nani kamzidi mwenzake uwezo?
Tuangalie vitu kama;
Games played, Goals, Assists, Big Chances created, Acc. passes, Key passes, Accurate crosses, Total shots, Succ. dribbles, Tackles, Interceptions, Ground duel won, Aerial duels won, Yellow cards & red cards
Karibuni......