Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

Hahahahahahaa, mwosha huoshwa!

Usku wa fitina katika kandanda.na hatimae mapenz ya refa yameamua katika soka.mikono nayo inacheza mpira na ukosefu umakini ukaamua matokeo. heri ya wajuao ukweli kwa kuwa wataushinda uhalisia.
 
Mentor comments zako kuhusu game ya leo ni picha tu???? toa ya moyoni kabla hatujawasambaratisha J2 kwa FA..tutawamalizia hasira!!!

BelindaJacob....that's it!

Ila mmetolewa n m fu***n happy about it!!!!!
Khe khe khe khe khe khe khe...............................
 
Last edited by a moderator:

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....

Great game bro....

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
tehetehe, TUNAFUTA RED CARD NA GOL LA RAMOS. BWABWABWAAAA
 
Usku wa fitina katika kandanda.na hatimae mapenz ya refa yameamua katika soka.mikono nayo inacheza mpira na ukosefu umakini ukaamua matokeo. heri ya wajuao ukweli kwa kuwa wataushinda uhalisia.

kubali tu kushindwa, mpira ni mchezo wa makosa.kwanza CR7 kawabeba
 
Mkuki kwa nguruwe.....

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
CC: Belo, mtotowamjini, BelindaJacob, KASHOROBANA, Idimi, et al....

Thats what football is all about, sometimes it takes a mistake from the keeper or a defender or a referee to decide a match...all in all good luck to them and because am a huge fan of ronaldo i want real madrid to win the champion league. will be supporting them all the way japokua wametufunga:rockon:
 
Usku wa fitina katika kandanda.na hatimae mapenz ya refa yameamua katika soka.mikono nayo inacheza mpira na ukosefu umakini ukaamua matokeo. heri ya wajuao ukweli kwa kuwa wataushinda uhalisia.
Heheheheeee umeandika kwa hisia kweli mkuu!!!
 
GO BORRUSIA DORTMUND!!!!!:yo:
 
Mkuu ile kadi ni halali kabisa. Wanaolalamika ni kutokana na uchungu tu. Wamshukuru CR kwa kuwabeba.

Tatizo Man U na Barca siku zote wanaamini wana haki miliki ya waamuzi sasa wanapoona maamuzi ya tofauti dhidi yao wanaumia sana, hata Barca walilalamikia sana goli la Milan lililofungwa baada ya mpira kumgonga mtu mkononi pamoja na penalt ya Madrid hawakuamini kama Unicef team inastahili maamuzi ya maumivu kama yale. Nampongeza sana Roy Kean kwa kuwa mkweli, ile ya Nani ilikuwa ni karate sio mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…