Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Dakika ya 75
Man Utd 2-1 Liverpool
Webb kawanyima Liverpool kona
Hata mimi nashindwa kuelewa maana replay imeonesha Vidic kapiga kichwa ule mpiraHivi Fa lazima wampe huyu jamaa mechi kubwa za man united?