Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,167
- 2,920
Ila hii United daaaaah 😅😅😅
Zile goli mbili ndani ya dkk 10 hazijatosha kuwapa ushindi?Kupigwa Old Trafford aibu
Kwahy tumekubaliana nani mnyonge?Wallah sijui Kuna nini
Kaka! Wewe fani yako magari tuuh, hii timu itakuua na depressionHii timu takataka
Haijaisha hadi iisheKama kawaida yao. Wamekutana na wanyonge. Chuma mbili ndani ya dakika 10.
MjjhMan u 2-0 Hoves dakika ya 22 hii mechi man U atapoteza tu
Kweli ulijuaje mkuu?Man u 2-0 Hoves dakika ya 22 hii mechi man U atapoteza tu
Please msiniambie kwamba Man United wamefungwa tena!
Uzi unaanza kama kawaida wamepiga mbili dk 10 baadae hii timu taka taka nilikushauri mtaalamu wa drum na Blake pad huku umetuvamia hautaki kusikia.Hii timu takataka