Man U-Bonge la Nyanda Hili Hapa

Man U-Bonge la Nyanda Hili Hapa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Dah

Watani naona Old Traford imekuwa kapu la magoli 2011
37417_136337733045301_100000072267333_368155_1365248_n.jpg
Nadhani chanzo ni nyanda wenu, kwa kuwa dirisha dogo limefunguliwa mjaribuni HUYU
 
Haswaaa huyu nyanda kwa muonekano ana uwezo kabisa wa kuchukua nafasi ya De-Gea: mechi 2 magoli 9 tena kwenye uwanja wa Nyumbani!!!!!, De-Gea hafai kuwa kipa wa Man U kwa sasa.
 
Halafu hahitaji malipo,anadaka bure yeye anachotaka ni kupiga mambo(bia)tu... Kwi kwi kwi k kwi kwi kwi kwiiiii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom