Man U walitaka kunisababaishia kitambi kinashtuka, nikaanza GYM mapema, haiwezekani kila mwaka wananipa raha tu, at least mwaka huu wameanza na speed ndogo kidogo nilipunguza mazoezi lakini kwa mwendo huu lazima nirudi GYM, MAN U inanipa raha sanaaaaaaaaa........