Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Mmekosa kazi
watashindana lakini hawatashindaaa
nakapanya wenga leo kaona dakika 3 hazitoshi , alitaka kulia
Kwa misimu 10 mfululizo, Arsenal hajawahi kushinda OT...
Karukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake
nadhani wote mmeona Arsenal ilivyoiva leo
mbaya zaidi tulitegemea sana tuifunge Arsenal.
wale wale, wakufata mkumbo....andika ulicho na uhakika nacho mkuu