Sema kama nenga
Member
- May 8, 2025
- 24
- 114
Ndugu zangu watanzania nilikaa kimya sana baada ya kuligundua ili swala, kutokana nilikuwa nalifanyia uchunguzi swala hili.
Ndugu watanzania nyuma kidogo chid alikuwa anaishi kwa lamwai Durban kwa zulu natal.
Lamwai akaondoka kwende Johannesburg na kumuacha chid mjengoni kwake, chid alighafilika na kuuza TV ya lamwai ili kulipa kodi.
TV ilikuwa na thamani ya rand 1000, laki moja na ishirini kwa pesa ya tanzania.
Baada ya lamwai kupata taarifa akamwambia chid kuwa atamuonyesha akirudi Durban. Baada ya lamwai kurudi durban chid alikimbia na kuelekea richards bay kwa usalama wake.
Lamwai kawakodi wasouth africa kadhaa na kumteka chid na kumrudisha Durban, lamwai alibadilika na kuwa mnyama kutokana na pesa alizokuwa nazo.
Kamvutisha chid madawa ya kulevya na kumuingilia kinyume na maumbile kwa zaidi ya wiki apo mjengoni kwake, sababu madawa yalimlevya chid kwa kiasi cha kutojitambua wala kujimudu kujitetea.
Rashid aka chid anarudishwa kwa familia yake huku amepatwa na stroke haoni, hatembei, haongei wala hawezi fanya chochote.
Chanzo : Mzee baba Mohammed msangi