Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,624
- 47,247
Salaam wana MMU.
Men and women when it comes to love issue,they are completely different. Yani approach yao inakuwa tofauti sana.
Mfano two girls wakigundua wamelala na mwanaume mmoja,kuna uwezekano mkubwa wakanuniana kama sio kupigana kabisa. Ila kwa upande mwingine,wanaume wawili wakigundua wametembea/wanatembea na mwanamke mmoja basi kuna uwezekano hata wakajenga urafiki (endapo walikuwa hawajuani) maana huchukulia kawaida.
Lakini pia wanawake wawili wakigundua wanampenda mtu mmoja,basi mmoja kati yao anaweza akapotezea na kumuachia mwenzie au wote wakaamua kuignore feelings zao. Lakini kimbembe ni pale wanaume wawili wawe wanafukuzia demu mmoja alafu demu mwenyewe awe mkali,inakuwa nivigumu kwa mmoja kuachia ngazi (mwenye kisu kikali ndio atakula nyama). Na hii ndio imepelekea kuandika huu uzi.
Nakumbuka enzi za muhula wa kwanza ya JK unaelekea mwisho,kuna binti flani alihamia kitaa. Japo kalikuwa kanaringa,ila kwa uzuri wake ikafanya vidume kujipendekeza kwake iwe kawaida. Nikajitosa kuingizia sound kabla hajazoea mtaa na kuwa mjanja mjanja. Sasa kila nikipiga sound dem anakuwa kama anaelewa,ila kesho yake nikirudi anakuwa kauzu so naanza upya. Ila mwisho wa siku nikagundua kumbe tupo wawili tunaofukuzia,mimi mara nyingi nilikuwa namcheki mida ya mchana (maana kipindi hicho nilipata kibarua flan cha kuprint mabango,so nilikuwa naingia jioni mpaka night kali),alafu kumbe yule mwenzangu yeye alikuwa anamcheki dem mida ya jioni na alikuwa anajua kama na mimi pia nafukuzia.
Siku nipo maskani washkaji wakaniambia dem kamtolea mbavuni yule jamaa mwingine,anasema yupo na mimi. Kupata hiyo habari nikaenda kuongeza speed kwa yule binti,hadi kuimba niliimba that day. Mwishowe akaniambia kesho yake atanipa jibu.
Kipindi nawait kesho ifike nijue hatma yangu,kumbe ile njemba nyingine ikamuibukia dem. Njemba inalalamika eti dem anamtosa yeye HB anamkubali mmasai (dah yule boya alisema mimi mmasai). Demu anasema sawa mimi nishamkubali hivyo hivyo,jamaa anasema "poa tu,ila kwa uzuri wako hupendezi kutembea na mlinzi"
Demu: Nani mlinzi?
Njemba: Si huyo mmasai wako,au unadhani anafanya kazi gani?
Njemba: Kama unabisha wait mida ya jioni utamuona na kibegi chake anaenda lindo,sema hataki watu wajue ndio maana sare anaweka kwenye kibegi anaenda kuvalia kazini.
Demu akabaki kimya tu,njemba ikasepa.
Mida ya jioni sina ili wa lile,na kibegi changu mgongoni napiga mluzi mdogo mdogo naelekea kuprint mabango kama kawa. Kumbe demu katega kweli dirishani kwao ananiwait maana nyumba yao ilikuwa njiani. Aliniona ila hakunistua.
Mpaka kufika kesho yake ndege alishapeperuka kitaaambo ,namfata demu ananiambia "Masai tuwe tu mabesti"