Man on the moon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Man on the moon

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Son of Alaska, Jul 17, 2009.

 1. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  its forty years since man set foot on the moon.Ever since the man in question,Neil Armstrong has become a virtual recluse-shunning publicity,a loner etc etc.They say he is a confused individual due to-AS HE SET FOOT ON THE LUNAR SURFACE-he heard the muslim call to prayer"ALLAH AKBAR"booming in the vicinity-this call vibrates in his head to this day-he is torn between the faiths-they say he has converted
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hebu elezea vizuri...
   
 3. Profesy

  Profesy Verified User

  #3
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Man never landed on the moon. Bisha nikueleze. Haiwezekani.
   
 4. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  nimekwambia ARMSTRONG katua mwezini na kuusika muazan(not sure about the spelling)wewe unasema man never landed on the moon,haya nabisha naomba unieleze
   
 5. E

  Evy Member

  #5
  Jul 17, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes..thats sadly true and i dont know it takes how long for the gullible to understand this simplest of the logics.

  the matter of facts, the whole bunch of hoax that follows after 'landing on the moon' is irrelevant and not worth discussion.
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  1. Man landed on the moon.
  2.That muezzin story is some BS conspiracy theory.
   
 7. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Hakuna mtu yeyote alie kwenda kwenye moon.
   
 8. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pale imani na sayansi vinapogongana.
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Is that so?
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Yani nyie mna pa elevate hapo kwenye stepping stone hiyo ya mwezi kupafanya hapafikiki? Na watu wakija na ndoto za intergalactic travel je, mtasemaje? Huo mwezi ni satellite ya dunia tu, ma super intelligent civilization yakiwasikia mnabisha mtu hajawahi kukanyaga mwezini yatawaona super primitive, ni kama kusema mtu hajawahi kukanyaga doormat ya mlangoni mwake.Hapo mwezini safari mbona hata haijaanza, hapo ni sehemu tu ya kuanzia safari.

  Mzingo wa dunia ni kadiri km 40,000 na umbali wa kutoka duniani kwenda mwezini ni wstani wa km 384,403. Kwa maana nyingine ukiizunguka dunia mara kumi kwenye ikweta kwa jet utakuwa tayari umeshapitisha umbali wa kwenda mwezini.

  Watu wamepeleka Pioneer 10 through the asteroid belt, imeenda ku explore Jupiter in 1973, ninyi mnashangaa na mwezini hapa ambapo watu wanataka kuweka launching pad?

  Give props where props are due, kesho keshokutwa mpaka WaNigeria na Wahindi wataenda mwezini sie tutabaki ubishi tu na conspiracy theories.
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Tuelezeni hizo facts jamani na sie wengine tujue. Siyo kusema tu ni fact wakati facts hatuzioni. Hizo facts ni zipi? Tunataka tu kuzijua. Natumai kuuliza siyo ujinga.
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hivi kuna sababu zozote ziwe za kiimani au zinazoitwa za kisayansi na zinginezo zinazounga mkono kuwa binadam hawezi au hatoweza kufika kwenye Mwezi!?
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  One would think we are talking about inter-cluster travel ambayo hatuna hata teknolojia ya kuifikia, kumbe kwenda kwenye kimwezi tu hapo? Mwezi ni kiota cha dunia tu , semeni safari za ma Andromeda huko, the outer reaches of Pegasus au kwenye ma Betelgeuse huko, huko watu wanapima distance kwa light years si kwa miles, now that would be interesting.

  But the moon is so parochially pedestrian I could walk on foot all the way there if there was a road.
   
 14. E

  Evy Member

  #14
  Jul 18, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Was The Apollo Moon Landing Fake?
   
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sawa mkuu Bluray, sasa ni vipi mambo haya yalivyokuwa mbona kuna marumbano mengi sana, wapo wanaosema kuwa hii si kweli, yaani hawakufika just hoax, na kama walifika mbona hatujawasikia tena wakienda mwezini...!?

  Mkuu tufafanulie hapo ni kweli au mambo yao tu.

  Mimi binafsi wala sishangai kwa binadam kufika mwezini au sayari nyingine yoyotea maana M'Mungu alisha tuma ilmu ya kufanya kile ambacho tuna uwezo nacho, kikiwepo hicho cha kutawala ulimwengu wetu, kinachotakiwa tu ni kuchemsha bongo zetu ili kufika kule tunakopataka. kalas
   
 16. E

  Evy Member

  #16
  Jul 18, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To all proponents of 'landing on the moon' thingy

  Have asked urself why the original videos were announced 'lost' or 'erased' by NASA? Houston, We Erased The Apollo 11 Tapes : NPR

  Have you gone and figure why the some of tapes have been found and re-made in 'holywood'? It is said that ' ..of the agency [NASA] has taken the best available broadcast television footage and contracted with a digital restoration firm to enhance it'..Whats the word 'best' means..go and figure.
   
 17. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Apollo 17 ilienda (Apollo Program ilidumu kuanzia 1961-1975) isitoshe Obama kwenye hotuba zake nyingi ameshasema watahakikisha wanarudisha binadamu mwezini tena.
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Inaonekana safari ya kwenda mwezini ni kubwa sana kuliko kwenda sayari ya Mars, any way Tanzania pia ilipata zawadi ya kijiwe cha kutoka mwezini, nakumbuka kipo pale Dar, jumba la makumbusho... sasa kama mambo yenyewe yalikuwa si mambo, sijui itakuwaje... Ipo siku mambo yatajulikana tu...!
   
 19. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naomba mnijibu hizi conspiracy theories zilianzia wapi?
   
 20. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  As far as I know man never landed on the moon.Therefore huyo Muezin sijui ni vipi alipiga hiyo Allah Akbar akasikika. Kutua mwezini ni hox tactic ya Century ya vita baridi.
  Man never landed on the moon
   
Loading...