Uongo mahakama haiwezi tumia jina la kisanii katika kufungua kesi husika.
Toka lini mahakama ikamuita mtu kwa kutumia jina lake la kisanii??
hata kumbukumbu namba haipo, utani mwingi sana ,Toka lini mahakama ikamuita mtu kwa kutumia jina lake la kisanii??
Hii peleka jukwaa la jokes.
Ohooooo[emoji15] [emoji15]Aisee huyu afungwe tu bila hata kesi. Kanisababishia majanga makubwa huyu bwn mdogo
Mkuu nadhani kuna baadhi ya watu ambao bongo zango hazina compartmentalization...yaani kila wakati wanafikiri tupo JF Siasa, intel, au hbr mchanganyiko....Some of the times we have to ease.Jukwaa la picha hili, unatupia picha kwa title unayoipenda
okei, nami nimetafsiri kiuhalisia zaidi.Jukwaa la picha hili, unatupia picha kwa title unayoipenda