Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
Bado dakika 30 kipute kianze
mkuu sina uhakika sana ila nina uhakika wa makocha wa timu zote mbili ni wale wale wa six hawajabadirika!!!labda Balantanda atuambie kuhusu wachezaji!!Una tetesi zozote vikosi vya timu zote vimekaaje??
mkuu sina uhakika sana ila nina uhakika wa makocha wa timu zote mbili ni wale wale wa six hawajabadirika!!!labda Balantanda atuambie kuhusu wachezaji!!
mkuu leo nadhani united 2 city 1,nitakuwepo hadi dakika ya mwisho!!!Ha ha haaah!! Utabiri wako ni vipi leo mkuu.
mkuu leo nadhani united 2 city 1,nitakuwepo hadi dakika ya mwisho!!!
ok GANG declare interest kwanza unasimamia upande gani!!usije kutuacha njianiasante asante Balantanda nimekupata sawia...
kwa niaba ya mafundi mitambo Rando Mabula na Obi Mwambungu, mimi ni Gang Chomba nitakaehakikisha tunasimama imara kukupatia updates za mpambano huu...
Niko uwanjaniaiseeeeeeeeee babaang upo moja kwa moja uwanjani au na wewe unaangalia kwenye kideo
sasa wewe unataka kuharibu hii mechi!!unajaza server bwana ondoa hii kitu!!!Tujikumbushe mechi za msimu uliopita baina ya timu hizi mbili pinzani kutoka jiji la Manchester ambazo ni kama Simba na Yanga ama African Sports na Coastal Union kwa hapa Tanzania
Tarehe 23/10/2011 Man Utd 1-6 Man City
<span style="color: rgb(51, 51, 51); background-color: rgb(250, 250, 250); ">
Tarehe 30/04/2012 Man City 1-0 Man Utd
Kuharibu kivipi?.....Kama vipi si uanzishe thread nyingine mkuu......Hii ni live coverage....Na kwa kawaida kaba ya mechi lazima tuwe na uchambuzi wa kabla ya mechi ambapo tunapitia mechi ziizotangulia zinazohusisha na timu husika.......sasa wewe unataka kuharibu hii mechi!!unajaza server bwana ondoa hii kitu!!!
siipendi history kiongozi!!!!Kuharibu kivipi?.....Kama vipi si uanzishe thread nyingine mkuu......Hii ni live coverage....Na kwa kawaida kaba ya mechi lazima tuwe na uchambuzi wa kabla ya mechi ambapo tunapitia mechi ziizotangulia zinazohusisha na timu husika.......
Sasa sijui tatizo ni kwa sababu Man Utd walipigwa mechi zote mbili ndo maana unamind ama ni kujaza server......